Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Bani Israil 17:91 او تكون لك جنة من نخيل وعنب فتفجر الانهار خلالها تفجيرا ٩١

Ukurasa 291 · Juzuu 15

أَوۡ
تَكُونَ
لَكَ
جَنَّةٞ
مِّن
نَّخِيلٖ
وَعِنَبٖ
فَتُفَجِّرَ
ٱلۡأَنۡهَٰرَ
خِلَٰلَهَا
تَفۡجِيرًا
٩١
Au uwe na bustani ya mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Demand of Quraysh for a specific Sign, and the Rejection of that

Ibn Jarir recorded from Muhammad bin Ishaq, "An old man from among the people of Egypt who came to us forty-odd years ago told me, from `Ikrimah, from Ibn `Abbas, that `Utbah and Shaybah -- the two sons of Rabi'ah, Abu Sufyan bin Ha

…

The Demand of Quraysh for a specific Sign, and the Rejection of that

Ibn Jarir recorded from Muhammad bin Ishaq, "An old man from among the people of E

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

89. Na hakika tumewaeleza watu katika Qur-ani hii kwa kila mfano. Lakini wengi wa watu wakakataa isipokuwa kukufuru tu. 90. Na walisema, "Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemichemi katika ardhi hii. 91. Au uwe na bustani ya mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika. 92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyodai, au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso. 93. Au uwe na nyumba iliyopambwa, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako huko mpaka ututeremshie kitabu tukisome.ˮ Sema, “Subhana Rabbi (Ametakasika Mola wangu Mlezi)! Kwani mimi ni nani isipokuwa ni mtu tu Mtume?"

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia